May 15, 2018

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Ndg. Florence  Mattli (wa pili kushoto) alieambatana na Afisa kutoka Ubalozini, Ndg. Sandrine Denti (wa pili kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Spika, Ndg. Said YakubuSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi  kutoka  kwa Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Ndg. Florence  Mattli (kulia) baada ya mazungumzo yaliyofanyika  leo Ofisini kwake Mjini Dodoma (picha na  ofisi ya  Bunge)  

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE