May 21, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU MTEULE WA KANISA LA ANGLIKANA NCHINI MAIMBO MNOLWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAMD

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la kusimikwa rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo mkoani Dodoma. Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa  kabla ya kwenda 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa aliyeambatana na mke wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda Dodoma kusimikwa  rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Saba wa Kanisa hilo nchini.PICHA NA IKULU


0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE