May 8, 2018

MBUNGE ROSE TWEVE NA HARAKATI ZA KUWAKWAMUA KIUCHUMI WANAWAKE UWT MKOA WA IRINGA

Mbunge  wa  viti maalum  mkoa  wa  Iringa  Rose  Tweve  akiwaunga mkono  wanawake  kwa  kununua bidhaa  zao jana  katika  kijiji  cha Magozi  Pawaga  Iringa
Mbunge  Tweve  akichagua matunda
Mbunge  Rose  Tweve  akihesabu  pesa  za  kutimiza ahadi yake kwa  kuwawezesha kiuchumi  wanawake UWT
wanawake wa  kikundi cha pawaga  UWT  wakifurahia  zawadi  waliyopewa na mbunge Rose  Tweve  baada  ya kuwapatia pesa za  kukopeshana
Mbunge  Rose  Tweve  akiwa ameongozana na  viongozi wa UWT  wilaya ya Iringa
Diwani wa kata ya  Ilolompya  Fundi  Mihayo  akisalimiana na mbunge Tweve
Diwani  Mihayo  akifurahia  jambo na  mbunge Rose  Tweve

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE