May 9, 2018

MAKAMANDA WA POLISI WAJINOA KUUKABILI UKATILI WA KIJINSIA

Baadhi ya  makamanda  wa  polisi  nchini wakimsikiliza  IGP  Simon  Sirro (hayupo pichani) wakati  wa mafunzo ya  kuwajengea  uwezo  juu ya makosa  ya  ukatili wa  kijinsia ,yanayoratibiwa na dawati  la  jinsia  na shirika  la utu  wa mtoto (picha na  Jeshi la  polisi)
Mkuu  wa  polisi  nchini IGP  Sirro  akiwasili  kufungua  mafunzo hayo 


Picha ya pamoja  kati ya  mkuu wa  polisi  nchini  (IGP)  Sirro  na makamanda  wa  polisi  nchini 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE