May 8, 2018

KAMUZORA AWATAKA MSD KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATANZANIA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora akiwaeleza uongozi wa Bohari kuu ya Dawa kujituma na kufanya kazi kwa ufanisi ili kuendelea kutoa huduma bora za usambazaji dawa kwa watanzania alipotembelea katika Ofisi zao Jijini Dar es salaam .  Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Rugambwa Bwanakunu.Mojawapo ya sehemu ya Ghala linalohifadhi Dawa kwa kutumia Mfumo wa kieletroniki katika Bohari kuu ya Dawa (MSD) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu kutembelea Bohari hiyo na kujionea namna wanavyo fanyakazi.Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Rugambwa Bwanakunu akimueleza jambo Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora baada ya kuwasili na kwenda kutembele moja ya ghala la kuhifadhi Dawa katika ofisi za Bohari ya Dawa Jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE