May 11, 2018

HII NDIO ILIKUWA SAFARI YA MWISHO YA MZEE JUMA MLOWE


Mwanafamilia  Michael  Mlowe  wenye  kanzu  akishiriki  kuuhifadhi  mwili  wa  babake  kaburini
Waombolezaji  wakiushusha  mwili  kaburini
Baadhi ya  waombolezaji  wakishiriki  mazishi  hayo
Shughuli za mazishi  zikiendelea  makaburi ya  familia 
Mjumbe  wa NEC Salim  Asas  kushoto  akiwa  na mwenyekiti wa  CCM  Iringa mjini Said Rubeya
Marehemu  Juma  KassiM  Mlowe  enzi za  uhai wake  alikuwa  afisa  mstaafu wa Bandari

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE