May 9, 2018

AGIZO LA RAIS DKT MAGUFULI KWA MWANAMKE ALIYEANGUA KILIO SIKU YA MEI MOSI LAFANYIWA KAZI

Image result for mwanamke  Iringa  amlilia  JPM
Agizo la  Rais  Dkt  John Magufuli alilolitoa  wakati sherehe  za  wafanyakazi duniani (MEI  MOSI)  2018  katika  uwanja wa  Samora  Iringa la  kutaka  kijana  aliyehusika  kumpiga na kumtoa  kizazi mwanamke   huyo  limefanyiwa kazi na  jeshi la polisi mkoa wa Iringa baada ya  mtuhumiwa  kukamatwa na leo amefikishwa  mbele ya  mahakama  kuu ya  Iringa  chini ya  Jaji  Elieza Feleshi ambae  amefuta  hukumu ya  awali  iliyokuwa ikimkabili kijana  huyo ya  kutumikia  kifungo  cha  nje cha  miaka  mitatu  na  kuwa  kesi hiyo itasikilizwa  upya katika mahakama  ya  chini kwa hakimu  mwingine na  mtuhumiwa  amenyimwa dhamana na  kupelekwa  mahabusu 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE