April 4, 2018

UKAWA KUAMUA KUSHIRIKI AU KUSUSIA BUNGE LEO


mwenyekiti wa Chadema Taifa na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe jioni hii anataraji kuongoza kikao cha kambi ya upinzani bungeni na kutoa msimamo wa kuendelea au kususia vikao vya bunge vinavyoendelea mjini Dodoma. 

Mbowe tayari amekwisha wasili ukumbi wa Pius Msekwa jioni hii kuongoza kikao hicho kitakachotoa maamuzi ya kambi ya upinzani. 


Leo naibu spika wa bunge Dkt Tulia amezuia kuwasilishwa kwa hotuba ya kambi ya upinzani baada ya kushindwa kuwasilisha kwa spika kabla ya kuisoma bungeni. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE