April 5, 2018

RAIS MAGUFULI ZIARANI MKOANI MANYARA KESHO


????????????????????????????????????
Waziri wa Madini Mhe. Anjellah Kairuki akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka  mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
2
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akipokelewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka  mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
3
Naibu Waziri wa Madini  Mhe. Stanslaus Nyongo akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi  la Kujenga Taifa Dkt. Florence Turuka wakati wakikagua maendeleo ya maandalizi ya  uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
4
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti  (wapili kutoka kushoto) akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya uzinduzi wa  ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kufanyika tarehe 6 Aprili 2018.
5
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti  (wapili kutoka kushoto) akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya uzinduzi wa  ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kufanyika tarehe 6 Aprili 2018.
6\
Sehemu ya Majukwaa yatakayotumika wakati wa uzinduzi wa ukuta  unaouzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa  tarehe 6 Aprili 2018 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
7
Mafundi wakiwa katika hatua za mwisho kukamilisha maandalizi ya  uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara  unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 6 Aprili 2018.
8
Mmoja wa mafundi akiendelea na kazi ya kuandaa  eneo litakapowekwa jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa ukuta kuzunguka  mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
9
Sehemu ya geti la kuingia katika eneo la mgodi wa Tanzanite kama inavyoonekana katika picha.
10
Kanali Mtaula akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa ukuta  wa kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara kwa viongozi mbalimbali akiwemo Katibu mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Florence Turuka na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof. Saimon Msanjila, unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
11
Waziri wa Madini Mhe. Anjellah Kairuki akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Alexandar  Mnyeti unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
       ( Picha zote na  Maelezo , Manyara

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE