Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya
Tanesco Dkt. Alexander Kyaruzi alipowasili kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi
Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito Mwinuka alipowasili kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi wa Balozi
wa Japani nchini Bw. Hiroyuki alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa jimbo la
Segerea Mhe. Bonna Kaluwa alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme
MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili
3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati
ya Bunge ya Kudumu ya Nishati Mhe. Dunstan Kitandula alipowasili
kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Waziri wa
Nishati Dkt. Menard kalemani kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme
MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito Mwinuka kabla ya kuzindua
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini
Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Meneja
Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Steven
Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Nishati Dkt. Menard
Kalemani na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Stanlaus Nyongo
akitembezwa kukagua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Meneja
Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Steven
Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili
3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibofya kitufe kuashiria kuzindua
rasmi mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi
jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Bila kujali mvua Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mamia ya wananchi waliojitokeza kushuhudia akizindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine meza kuu wakiimba
wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine
wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Viongozi na wadau wengine
wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Viongozi na wadau wengine
wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Wananchi wakijumuika katika
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Wananchi wakijumuika katika
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 

Wananchi wakijumuika na
wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Wananchi wakijumuika na
wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Wananchi wakijumuika na
wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine
wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine
wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine
wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine
wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Burudani katika sherehe za
kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
Mhe. Paul Makonda akikaribisha wageni wake katika sherehe za kuzindua
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini
Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa
Dar es salaam Mama Kate kamba akisalimia katika sherehe za kuzindua
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini
Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Sehemu ya wanahabari katika
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo
la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Katibui Mkuu Wizara ya Nishati
Dkt. hamisi Mwinyimvua akitambulisha wageni katika sherehe za kuzindua
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini
Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Mama Janeth Magufuli
akitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Makatibu Wakuu wakitambulishwa
katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge
Kudumu ya Nishati Mhe. Dunstan Kitandula akitambulishwa katika sherehe
za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Wabunge wa mkoa wa Dar es
salaam katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwakilishi wa Balozi wa
Japan Bw. Hiroyuki Kubota kwa hotuba yake kwa Kiswahili fasaha katika
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo
la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika sherehe za kuzindua
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi
jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu akipiga makofi katika
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo
la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo katika sherehe za
kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo katika sherehe za
kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo katika sherehe za
kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya sherehe za kuzindua
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini
Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
0 comments:
Post a Comment
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE