April 15, 2018

PS3 YAENDELEA KUWANOA WANAHABARI NA WANATEHAMA WA SERIKALI
Afisa utawala wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Fina Maziku, akiteta jambo na mmoja wa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa habari na maafisa TEHAMA wa serikali juu ya taaluma zao katika kuendesha tovuti za serikali. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na wawezeshaji kutoka PS3, yamehusisha mikoa Minne ya Tanzania Bara ambayo ni Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salam.

Afisa TEHAMA wa mradi wa Uimarishji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Phars Nyanda, akitoa somo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa habari na maafisa TEHAMA wa serikali juu ya taaluma zao katika kuendesha tovuti za serikali. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na wawezeshaji kutoka PS3, yamehusisha mikoa Minne ya Tanzania Bara ambayo ni Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salam.

Afisa habari wa halmashauri ya wilaya ya Masasi, Joina Nzali, akiendelea kujifunza katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa habari na maafisa TEHAMA wa serikali juu ya taaluma zao katika kuendesha tovuti za serikali. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na wawezeshaji kutoka PS3, yamehusisha mikoa Minne ya Tanzania Bara ambayo ni Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salam.

Maafisa habari na maafisa TEHAMA wa serikali za halmashauri na mikoa wakiwa darasani katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara, katika mafunzo ya kujengewa uwezo juu ya taaluma zao katika kuendesha tovuti za serikali. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na wawezeshaji kutoka katika mradi wa Uimarishji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, yamehusisha mikoa Minne ya Tanzania Bara ambayo ni Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salam.

Mshauri wa utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi wa mradi wa Uimarishji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Nazar Joseph, akitoa somo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa habari na maafisa TEHAMA wa serikali juu ya taaluma zao katika kuendesha tovuti za serikali. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na wawezeshaji kutoka PS3, yamehusisha mikoa Minne ya Tanzania Bara ambayo ni Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salam.

Baadhi ya maafisa habari na maafisa TEHAMA wa serikali za halmashauri na mikoa wakiwa darasani katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania BoT tawi la Mtwara, katika mafunzo ya kujengewa uwezo juu ya taaluma zao katika kuendesha tovuti za serikali. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na wawezeshaji kutoka katika mradi wa Uimarishji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, yamehusisha mikoa Minne ya Tanzania Bara ambayo ni Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salam.
Mshauri wa utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi wa mradi wa Uimarishji wa Mifumo ya Sekta za Umma PS3, Nazar Joseph, akitoa somo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa habari na maafisa TEHAMA wa serikali juu ya taaluma zao katika kuendesha tovuti za serikali. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na wawezeshaji kutoka PS3, yamehusisha mikoa Minne ya Tanzania Bara ambayo ni Mtwara, Lindi, Ruvuma na Dar es Salam.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE