April 19, 2018

POMBE YA ULANZI IRINGA YAPUNGUZA UNYWAJI MAZIWA


Imeelezwa kubwa sababu ya baadhi ya wakazi wa maeneo yanayogema pombe ya ulanzi kama Tanangosi,Ifunda ,wasa mkoani Iringa kuwa na watumiaji wachache wa maziwa ni kutokana na unywaji wa ulanzi uliopitiliza hivyo ongezeko la utapiamlo na lishe duni kwa watoto huongezeka

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE