April 5, 2018

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA BUNGENI LEO

PMO_9461
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (katikati) bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018
PMO_9587
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwenye viwanja vya bange mjini Dodoma Aprili 5, 2018
PMO_9511
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
PMO_9556
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Det. Harrison Mwakyembe kutoka bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018
2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018
3
Waziri wa Nchi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama (kushoto) akiwa  na mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018.
4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa     Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kushoto) ,  Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Bibi Maimuna Tarishi (wapili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa Faustin Kamuzora (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 5, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE