April 23, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA MASHINDANO YA MICHEZO MBALI MBALI YA MEI MOSI KITAIFA MKOANI IRINGA LEOwachezaji  wa  timu ya  Ras  Iringa wakiingia  uwanjani  wa  Samora  leo  wakati wa maandamano ya  uzinduzi wa michezo ya  Mei  Mosi kitaifa  leo 
Wanamicheo mbali mbali  kutoka  taasisi  za  umma  wakiwa katika maandamano ya  michezo  ya  Mei Mosi  Iringa 


 Kaimu mwenyekiti  michezo  ya  Mei  mosi  Taifa  Joyce Benjamin akisoma  taarifa  kwa  mgeni  rasmi 
Mwakilishi  wa mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza  aliyekuwa   mgeni  rasmi  katika  uzinduzi wa michezo hiyo Mratibu  tawala msaidizi elimu  mkoa  wa  Iringa Majuto  Njanga akifungua  michezo  hiyo 
Wanamichezo  wakila  kiapo  

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE