April 19, 2018

KARIBU SANA MH RAIS DKT JOHN MAGUFULI ,MEI MOSI 2018 IRINGA


Sherehe za wafanyaka Mei Mosi kwa mwaka huu 2018 Zinafanyika mkoani Iringa kwenye uwanja wa Samora na waandaaji ni Shirikisho la vyama huru vya wafanyakazi -TUCTA) Mtandao huu wa matukio daima unaungana na wafanyakazi wote kumkaribisha mh Rais Dkt Magufuli Iringa .

Kuelekea Mei mosi mtandao wa matukio daima utakuwezesha mfanyabiashara kujitangaza kwa gharama ndogo zaidi piga simu 0754 026 299 au 0712 750 199

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE