March 8, 2018

SIASA SI UADUI: VIONGOZI WANAWAKE CHADEMA IRINGA MJINI WAKIMUUNGA MKONO MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE MBUNGE WA CCM RITTA KABATI


Mwenyekiti wa Baraza la wanawake chadema ( Bawacha ) Wilaya ya Iringa mjini  Serestina  Johansen akifurahia na mbunge  wa viti maalum Mkoa wa Iringa Ritta Kabati ( CCM) Leo wakati wakiongoza wanachama wao kuchangia harambee ya kusaidia yatima iliyoongozwa na Mgeni Rasimi siku ya wanawake duniani ,Mbunge Kabati leo
Katibu wa Bawacha Wilaya ya Iringa mjiniAnastazia Mwamongi akimkabidhi mchango wa Yatima mbunge Ritta Kabati (CCM) Leo wakati wa sherehe ya Sikh ya wanawake duniani kwa Wilaya ya Iringa mjini

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE