March 20, 2018

MAONYESHO YA KIBIASHARA YA ZANA ZA VIWANDA VYA MAZAO YA MISITU NA MBAO YAZINDULIWA MIKOA YA KUSINI...

Viongozi  mbali  mbali  wakiwemo wakuu wa mikoa ya  Iringa , Njombe ,  Songwe  na  Mbeya  wakitazama mashine ya  kisasa  ya  gharama  nafuu ya  uchanaji  mbao kutoka kampuni  ya Saw  Specialist (PTY) Ltd ya  Afrika  kusini  inayouzwa  kwa dola za  kimarekani 9500 sawa na milioni 20   wakati wa maonyesho ya kibiashara ya mazao ya misitu na mbao yaliyoandaliwa na Programu ya Panda Miti Kibiashara
Mmoja  kati ya  washiriki  wa maonyesho ya zana za viwanda  vya  misitu akitoa maelezo kwa  wakuu wa  mikoa ya  Iringa ,Njombe , Mbeya   na  Songwe
Mkuu  wa  mkoa wa Njombe  Christopher  Ole Sendeka  akitazama  ubao unaozalishwa   Sao Hill
Mkuu  wa  mkoa wa Iringa Amina  Masenza na mkuu wa  mkoa wa Njombe Ole Sendeka  wakitazama mashine ya  kisasa ya  uchanaji mbao ya gharama nafuu
 Mwakilishi wa kampuni ya  Saw Specialist  (Pty) Ltd  ya  Afrika kusini  Robert Welsh  akitoa maelezo ya  ubora wa mashine   hiyo kwa  wakuu wa  mikoa wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya  zana  za  viwanda vya misitu  yaliyoandaliwa na Programu ya  panda  miti  kibiashara  ,maonyesho  hayo yanaanza  leo  na  kesho  jumatano yatafungwa
Mtaalam Robert Welsh akionyesha  jinsi  mashine  hiyo  inavyofanya  kazi
Jinsi ya  kuchana  mbao
Uhamasishaji wa  upandaji  miti  kibiashara  unaofanywa na  Programu ya  Panda  miti  kibiashara 
Hii  ni mashine  nyingine ya  uchanaji mbao  ya  gharama nafuu  zaidi
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa  Amina Masenza  akimpongeza mdau wa  utengenezaji mkaa kwa  pumba  za mbao
Mkaa  unaotengenezwa  kwa pumba za  mbao  Mufindi
Dhana  za  kilimo
Banda  la  Sao  Hill  Mufindi
Jiko  linalotumia mabaki ya  miti
RC Iringa Amina Masenza  akifurahia  ubunifu wa  jiko linalotumia mkaa wa mabaki ya  miti
Hii  ndio  asali  inayouzwa  shilingi 500
Mkuu  wa  mkoa wa Njombe Christopher  Ole  Sendeka  akionja  asali ya  Sao Hill
Banda la benki ya MuCoba
Banda la  Benki ya NMB
Washiriki wa maonyesho ya  zana  za viwanda vya miti  wakiwa katika  banda  lao
Wakuu wa  mikoa ya   Iringa na  Njombe  kushoto  wakifurahi wa  matumishi wa programu ya panda  miti  kibiashara
Mwanahabari  wa  ITV  Vedasto Msungu akifanya mahojiano na mkuu wa  wilaya ya  Mufindi  Jamhuri  Wiliam  juu ya  faida ya  programu ya  panda  miti  kibiashara
Mshauri  wa kitaifa  wa misitu binafsi  Bwana  Sangito Sumari  akizungumza na  wanahabari  hawapo  pichani  juu ya  Programu ya Panda  miti kibiashara

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE