March 29, 2018

MABARAZA YA ARDHI YAPOKEA SAMANI KUTOKA KWA NAIBU WAZIRI


picha na 1b
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa hafla fupi ya kugawa vifaa vya Samani kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, Jijini Dar es Salaam.
picha na 2
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akijaribu Kiti, moja ya kifaa cha Samani, alivyokabidhi kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya; Kulia kwake ni; Assessor Ramadhani (mwenye miwani), Mwenyekiti – Ilala; John Bigambo na Mwenyekiti  mwingine Ilala; Bi Mwenda
picha na 3
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akimshika mkono Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Ilala; Mhe. Chenya kuashiria Makabidhiano rasmi ya Samani kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya. Kulia ni; Assessor Ramadhani (mwenye miwani), Mwenyekiti – Ilala; John Bigambo na Mwenyekiti  mwingine Ilala; Bi Mwenda
picha na 4
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Angeline Mabula, akisisitizia kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, Nyumba na Wilaya wa Ilala na Kinondoni kuhusu Utendaji bora wa kazi na umakini wa matumizi ya Samani alizokabidhi kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE