March 29, 2018

VIONGOZI WA CHADEMA AKIWEMO MBOWE WAFIKISHWA MAHAKAMANI ASUBUHI YA LEO,DHAMANA YAO KUJILIKANA LEO

Na Neema John ,matukiodaimaBlogULINZI mkali umewekwa leo katika mahaka ya kisutu jijini Dar es salaam wakati viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema ) akiwemo mwenyiti wa Chama  hicho Taiga  na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Bw. Freeman Mboweakiwa na  wenzake.Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali Majira ya saa moja asubuhi kwa kwenda kuendelea na kesi inayowakabili na Leo kujulikana hatma ya dhamana yao pia.Wengine waliofikishwa no  mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho (Zanzibar) Salum Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (Bara) na Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama hicho Vicent Mashinji na wengine.


0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE