March 29, 2018

HABARI MBAYA:AJALI YADAIWA YATOKEA IYOVI


Basi la kampuni ya Newforce lenye namba DHA linalofanya safari zake za Dar - Mbeya, lilikuwa likitoka Mbeya kwenda Dar limepata ajali maeneo ya iyovi kwa kugongana na gari ndogo. Basi hilo lilikuwa linaendeshwa dereva aitwaye Samora wakati ajali inatokea. Dereva wapili ni Injili huyo aliyesimama hapo Mwenye t-shirt ya kijani. Kwa taarifa zilizopo kwamba gari ndogo iliyokuwa inaendeshwa na Askari wa Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ Akiwa na Familia yake ndio imeifuata basi kwenye site yake ambapo mwanajeshi huyo na mtoto wake inasemekana wamefariki palepale. Idadi kamili ya watu waliokuwa kwenye gari ndogo bado haijafahamika mpaka muda huu Kwa taarifa zaidi tungojee jeshi la polisi wa  Mikumi. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE