February 5, 2018

WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JUMATATU

PMO_7300 PMO_7298
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mji Mkongwe, Ali Saleh kwenye viwanja via Bunge Mini Dodoma Februari 5, 2018.
PMO_7289
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ileje, Janet Mbene  kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma Februari 5, 2018
PMO_7189
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Kiteto, Emmanuel Papian, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2018.
PMO_7207 PMO_7214
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2017.
PMO_7266
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ismani na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE