February 1, 2018

UGOMVI WA BAR ULIVYOSABABISHA KIFO CHA MOWZERY RADIO


MWANAMUZIKI nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, amefariki. Habari zilizothibitishwa na familia yake na mmoja wa mameneja wake aitwaye Balaam Barugahare, kwa vyombo vya habari, zinazema Mowzery amefariki asubuhi ya leo akiwa katika Hospitali ya Case mjini Kampala.
“Ndiyo, Radio amefariki asubuhi hii,” alisema Barugahare katika mahojiano ya simu. Mowzey Radio alilazwa hospitalini wiki iliyopita baada ya kupata majeraha wakati wa mapigano katika baa moja mjini Entebbe ijulikanayo kama De Bar, ambapo Radio alipigwa na kupoteza fahamu.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE