February 16, 2018

UADLIFU WASISITIZWA KWA WATUMISHI WA UMMA NCHINI

001
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa katika kikao kazi na waumishi hao kwa lengo kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi hususani haki na wajibu wa mtumishi wa Umma.
002
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Bw. Ng’wilabu N. Ludigija akitoa neno la utangulizi kumkaribisha Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – UTUMISHI Dkt. Laurean Ndumbaro kuzungumza na watumishi wa Halmashauri hiyo masuala ya kiutumishi hususani haki na wajibu wa mtumishi wa Umma.
003
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) katika kikao kazi na waumishi hao chenye lengo kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.
004
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akisisitiza jambo kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa katika kikao kazi chake na waumishi hao chenye lengo la kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.
006
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika mazungumzo ya kikazi na Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe Andrea. A. Tsere kabla ya kufanya  kikao kazi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
………………………
TAARIFA KWA UMMA-KM LUDEWA-page-001

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE