February 5, 2018

TAARIFA KUTOKA IKULU LEO JUMATATU


jpm3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli atazindua Chuo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani kesho tarehe 06 Februari 2018 kuanzia saa 01:45 asubuhi.
Ukiwa mdau muhimu wa habari, chombo chako kinaalikwa kuhudhuria katika tukio hilo muhimu.
Usafiri wa kwenda chuoni Mapinga utapatikana Mwenge kituo cha Mafuta cha PUMA kuanzia saa 12:30 asubuhi na safari itaanza saa 01:00 asubuhi.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
05 Februari, 2018.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE