February 6, 2018

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA BALOZI WA INDONESIA


DSC_2322
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
DSC_2378
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
DSC_2406
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Ratlan Pardede na Viongozi wa Serikali baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE