February 16, 2018

MZUNGU AHUKUMIWA MAISHA KWA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
KILIMANJARO: Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kifungo cha maisha jela mwanamuziki Christina Biskasevskaja (26) raia wa Lithuania kwa makosa ya kukamatwa  na madawa ya kulevya.

Christina alikamatwa Agosti 28, 2012 katika Uwanja wa Ndege KIA akijiandaa kuelekea Brussels Ubeligiji na madawa ya kulevya aina ya Heroin na Hydrochloride yenye uzito wa gramu 3775. 26 na thamani ya Tsh Mil 169,886,700 za kitanzania
Biskasevskaja ambaye pia anatajwa kuwa msanii wa Muziki alikamatwa Augusti, 28 mwaka 2012 majira ya saa 9:16 za mchana katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akijiandaa kuelekea katika mji wa Brussels Ubeligiji kupitia Addis Ababa Ethiopia.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE