February 17, 2018

RPC WA KINONDONI AHAMISHIWA IRINGA ATEMA CHECHE


mwenyekiti wa kamati ya  usalama  barabarani  mkoa  wa Iringa  Salim Faraji Abri  Asas akitoa  neno 
Asas  akifafanua  jambo 
DC  Iringa  Richard Kasesela  akiwahutubia  wananchi 
Picha  mbali mbali  za kamanda  wa polisi  mkoa  wa Iringa Juma Mbwire 
Kamanda  wa  polisi  akitoa  neno katika  siku yake ya tatu ya kuwasili  Iringa 
RPC Juma  Bwire  akiwapigia  saluti mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani na DC Iringa 
Mwenyenyekiti wa kamati ya  usalama  barabarani  akisalimiana na RPC  Iringa 
RPC na  RTO wakipongezana  
RPC  akitoa  neno 
RTO  akishukuru 
RPC Iringa  akimtazama  RTO  akiratibu ratiba 
Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani Mkoa wa Iringa Salum Abri Asas wa pili kushoto akiwa na mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliemwakilisha mkuu wa Mkoa wa Iringa kushoto kwake kamanda wa polisi Mkoa wa Iringa Juma Mbwile na RTO Hakimu Butusyo 
Asas  akitoa  pesa kwa  kwaya ya  shule 
DC Kasesela akiwapa  pesa Wanafunzi  

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE