Home »
» KATIBU MKUU WA MAMBO YA NDANI AKUTANA NA MWAKILISHI WA AGA KHAN
 |
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.
Adolf Mkenda (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo
la Aga Khan, Bw. Amin Kurji alipomtembelea katika Ofisi za Wizara Jijini
Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2018. |
 |
Mazungumzo
kati ya Prof. Mkenda na Bw. Kurji yalijikita katika kujadili masuala ya
ushirikiano na shughuli za maendeleo ambazo zimekuwa zikifanywa na
Shirika la Aga Khan nchini katika kuhudumia wananchi hususan katika
sekta ya Afya na Elimu. |
 |
Mazungumzo yakiendelea, kulia ni wajumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. |
0 comments:
Post a Comment
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE