February 4, 2018

HII HAPA RATIBA YA MAZISHI YA MZEE KINGUNGE

Ratiba ya mazishi ya Baba yetu mpendwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(Baba Kinje) Jumapili ya tarehe 4/2/2018 - Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street. -Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha) ****************************** Jumatatu tarehe 5/2/2018 - Saa 1:00 asubuhi mpaka saa 2:00 asubuhi waombolezaji kuwasili nyumbani Kwa ajili ya kuanza taratibu za mazishi. - Saa 2:00 asubuhi mpaka saa 3:30 asubuhi Kupata kifungua kinywa/Chai Kwa waombolezaji wote - Saa 4:00 asubuhi mpaka saa 5:00 asubuhi misa nyumbani Kwa marehemu (waombolezaji wote) - Saa 6:00 mwili kuwasili ukumbi wa karemjee halll Kwa taratibu za kuagwa - Saa 6:00 mchana 9:00 mchana kuaga mwili wa marehemu(waombolezaji wote) - Saa 9:00 alasiri mpaka 9:30 alasiri waombolezaji kuelekea makaburini kinondoni Kwa mazishi - Saa 9:30 alasiri mpaka 11:30 jioni shughuli ya mazishi - Saa 11:30 jioni 12:30 jioni kuelekea nyumbani Kwa marehemu kwa chakula cha jioni. (waombolezaji wote) 1:30 usiku mpaka. 2:45 usiku kupata chakula cha usiku (waombolezaji wote) 3:00 usiku- hitimisho la shughuli ya Mzee wetu mpendwa na kupata neno la shukran kutoka Kwa familia ya Mzee kingunge( msemaji wa familia) Tunawashukuru sana Kwa ushiriki wenu wa Hali na mali katika wakati huu mgumu Mungu awazidishie Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe🙏 Omary A kimbau( Mwenyekiti wa kamati ya mazishi)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE