February 23, 2018

ARSENAL MIKONONI MWA AC MILAN EUROPA LIGI


497EFBEE00000578-5423593-image-a-90_1519335549524
Ratiba ya 16 bora ya Michuano ya Europa League imetoka huku vijan wa Arsenal Wenger wataanzia ugenini kucheza na miamba ya Italia timu ya Ac Milan mchezo wa kwanza utapigwa Marchi 8,2018 na marudiano itakuwa Machi 15.
RATIBA KAMILI YA 16 BORA UEFA EUROPA LEAGUE
Ac Milan vs Arsenal
Lazio vs Dynamo Kyiv
RB Leipzig vs Zenit
Atletical Madrid va Lokomotiv Moskva
CSKA Moscow vs Lyon
Marseille vs Atheltic Bilbao
Sporting CP vs Viktoria PlzeƱ
Borussia Dormund vs Salzburg

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE