February 16, 2018

AJALI YA BODABODA YAJERUHI WAWILI IRINGA ASUBUHI YA LEO


Wakazi wa mjini Iringa wakitazama ajali ya bodaboda mbili kugongana Leo eneo la Majembe Jirani na FFU mjini hapa Leo hali za vijana wawili waliokuwa wakiendesha bodaboda hizo no mbaya wamekimbizwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa
Eneo ambalo zimegongania bodaboda hizo
Bodaboda ikiwa kushoto mwa barabara

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE