January 18, 2018

ZAWADI ALIYOITOA OBAMA KWENYE BIRTHDAY YA MKEWEJumatano hii ya January 17 ilikuwa ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mke wa Rais wa 44 wa Marekani, Michelle Obama. Je unafahamu ni zawadi gani ambayo aliipokea kutoka kwa mumewe Barack Obama?

Kupitia mtandao wa Instagram Michelle amethibitisha kupokea zawadi ya maua kutoka kwa mumewe huyo.

Thank you @BarackObama for the beautiful flowers waiting for me in the office this morning. You’re my best friend, biggest fan, and getting notes and flowers from you will never get old. And to the many people from around the country who sent cards and posted on social media, you have no idea how much we love hearing from you. I know birthdays can sometimes be bittersweet (54!), but your messages of hope, generosity, and warmth have always reminded me how lucky and blessed we are.

Mbali na zawadi ya maua pia Obama amemuandikia mkewe huyo ujumbe unaosomeka, “Wewe sio tu mke wangu na mama wa watoto wangu, wewe ni rafiki yangu mzuri. Ninapenda nguvu zako, neema yako, na uamuzi wako. Na ninakupenda kila siku. Happy Birthday, @MichelleObama.”

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE