January 30, 2018

UWT IRINGA VIJIJINI ILIVYOJIPANGA KUNG'ARISHA USHINDI WA CCM 2020

Mjumbe  wa Halmashauri  kuu ya  CCM Taifa  (NEC)  Salim Asas (katikati) ambae  alikuwa mgeni  rasmi  katika baraza  kuu la UWT Iringa vijijini  akijiandaa kwa  uzinduzi wa baraza  hilo
.............................................................................................................................................................
UMOJA wa   wanawake   Tanzania (UWT) wilaya ya  Iringa vijijini  waja  na  mpango mkakati  wa  mzito wa kukiwezesha  chama  cha  mapinduzi (CCM) na Rais Dkt John Magufuli kuzidi  kuaminiwa  zaidi na watanzania  ifikapo  mwaka 2020 .
Moja  kati ya  malengo  ambayo iwapo  yatakiwezesha chama   hicho  tawala   kuendelea  kutawala  ni  pamoja na ahadi  zake zilizomo  kwenye ilani yake  ambazo  ndizo ziliwashawishi  wananchi kuwachangua    wagombea  wa CCM na  kuwaacha wa upinzani ni pamoja na  kuona  utekelezaji wa  Ilani ya  uchaguzi  ya mwaka 2015-2020 unatekelezwa kwa  wakati .

Katika baraza  kuu la kwanza toka  ufanyike  uchaguzi wa UWT wilaya ya Iringa  mwishoni mwa  mwaka jana na kumchagua mwenyekiti wake Lenah Hongole , UWT  imeweka bayana  mipango mikakati yake  ya  namna  gani  jumuiya   hiyo itakavyo simama imara   kuongeza heshima ya  CCM kwa  jamii.
                       USIKOSE KUSOMA MAKALA  HAYA KTK  GAZETI  LA  RAI ALHAMISI HII

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE