January 7, 2018

PIGO JINGINE KWA MBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA KUNA DIWANI WAKE ANAJIUZULU USIKU HUU

mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa wa tatu kushoto akifurahia leo baada ya mkutano ila hali ya madiwani kuondoka imezidi kushika kasi, usiku huu kuna diwani wa nane anatangaza kujiuzulu 


Habari kamili inakujia hivi punde kupitia Chanel ya YOUTUBE :Matukiodaima 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE