January 15, 2018

PARESTINA YAKERWA NA MAAMUZI YA TRAMP

Palestina
Rais wa Palestina , Mahmoud Abbas almaarufu kama Abu Mazen, amempinga rais wa Marekani Donald Trump katika hotuba yake wakati wa kikao baina yake na uongozi wa ki Palestina ambao lengo lake kuu ni kujadili na ni kama majibu kwa uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake mjini Yerusalemu.
Bwana Abbas ameielezea hatua hiyo kama pigo la karne akinukuu matamshi ya rais Trump mwenyewe juu ya maelezo ya mpango mkubwa wa amani wa Marekani wa Mashariki ya Kati kama mpango wa karne.
Abbas tayari amekwisha tamka kuwa Wapalestina hawatashiriki tena katika mpango wowote wa Marekani kufuatia utambuzi wa Rais Donald Trump kuutambua mji wa Yerusalem kama mji mkuu wa Israel

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE