January 16, 2018

NEEMA YAIANGUKIA YANGA IKIUFUNGUA MWAKA 2018


maxresdefault (1)
Klabu ya Yanga leo hii imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Macron wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya utengenezaji na uuzaji wa jezi za klabu hiyo.
Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo  Katibu Mkuu wa Yanga, Chalse Boniphace Mkwasa amesema kwamba mkataba utakuwa na ongezeko kutokana na makubaliano waliyofikia.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE