January 26, 2018

MWANAHABARI TIDO MHANDO AFIKISHWA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mkurugenzi wa Shirika la utangazaji la Taifa (TBC) Tido Mhando Leo amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka akiwa kazini TBC 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE