January 22, 2018

MKUTANO WA JUKWAA LA TAIFA LA USIMAMIZI WA MAAFA WAFUGULIWA

M1a
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustine Kamuzora akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa kikao cha kwanza cha Jukwaa la Taifa la Usimamizi wa Maafa leo Jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo limejumuisha wadau mbalimbali kutoka sekta za umma na sekta binafsi ambao kwa namna moja wanajishughulisha na masuala ya kukabiliana na maafa na majanga.
M1b
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maafa Ukanda wa Afrika (UNISDRI) Julius Kabubi akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kwanza cha Jukwaa la Taifa la Usimamizi wa Maafa leo Jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo limejumuisha wadau mbalimbali kutoka sekta za umma na sekta binafsi ambao kwa namna moja wanajishughulisha na masuala ya kukabiliana na maafa na majanga.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Bashiru Taratibu, Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bigedia Jenerali Mstaafu Mbazi Msuya na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustine Kamuzora.
M4
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bigedia Jenerali Mstaafu Mbazi Msuya akielezea jambo wakati wa ufunguzi wa kikao cha kwanza cha Jukwaa la Taifa la Usimamizi wa Maafa leo Jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo limejumuisha wadau mbalimbali kutoka sekta za umma na sekta binafsi ambao kwa namna moja wanajishughulisha na masuala ya kukabiliana na maafa na majanga.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo Bashiru Taratibu, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustine Kamuzora na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maafa Ukanda wa Afrika (UNISDRI) Julius Kabubi.
M5
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustine Kamuzora akimsikiliza kwa makini Mwanzilishi wa Taasisi ya  Sukos DM Kova Foundation ambaye pia ni Kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi Suleiman Kova walipokutana katika kikao cha Jukwaa la Taifa la Usimamizi wa Maafa leo Jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo limejumuisha wadau mbalimbali kutoka sekta za umma na sekta binafsi ambao kwa namna moja wanajishughulisha na masuala ya kukabiliana na maafa na majanga.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Bashiru Taratibu, Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa toka Ofisi ya Waziri Mkuu Bigedia Jenerali Mstaafu Mbazi Msuya.
M6
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustine Kamuzora akiteta akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa kikao cha Jukwaa la Taifa la Usimamizi wa Maafa leo Jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo limejumuisha wadau mbalimbali kutoka sekta za umma na sekta binafsi ambao kwa namna moja wanajishughulisha na masuala ya kukabiliana na maafa na majanga.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE