January 25, 2018

MKAZI WA KIHESA IRINGA ASHINDA MILIONI 15 ZA PROMOSHENI YA TUSUA MAPENE YA VODACOM

Meneja  wa Vodacom  mkoa  wa Iringa Gallus  Balthazar ( mwenye fulana  nyekundu ya  Voda com )  akimkabidhi  mshindi  wa bahati nasibu ya Tusua  Mapene ya  Vodacom  Hassan  Msangi  mkazi  wa   Kihesa  Iringa  ambaye  ni  mtumishi  wa utumishi  wa  umma mkoa  wa  Iringa  aliyeshinda milioni 15

Na Matukiodaimablog

MKAZI wa Kihesa mjini Iringa mkoani Iringa Hassan Msangi ameibuka mshindi wa shindano la Tusua Mapeni kwa kujishindia milioni 15.

Akizungumza Mara baada ya kukabidhiwa pesa hizo kwenye ofisi za Voda shop mjini Iringa ,mshindi huyo alisema kuwa amrfarijika sana kushinda pesa hizo kwani wakati akicheza mchezo huo aliamini kuwa ipo siku anaweza shinda ila hakujua kama angeshinda kiasi hicho kikubwa cha pesa.

"Nimefurahi sana kushinda kiasi hiki cha pesa kweli VODA COM imeweza kubadili maisha yangu na nawaomba watanzania wengine kujiunga na VODA na kama hawana laini za VODA ni wakati wa kununua sasa"

Alisema kuwa wengi huwa wanafikiri michezo hiyo si ya kweli Ila kwa mchezo huu wa Tusua Mapene ya Vodacom ni mchezo wa uhakika na wa kweli kabisa hivyo waliokuwa hawachezi waanze kucheza .

Msangi alisema kwa mchezo huo kampuni ya VODA imeonyesha kuwajali Wateja wake kwa kurudisha faida kwa wateja wake.

Meneja  wa Vodacom  mkoa  wa Iringa Gallus  Balthazar akikabidhi pesa hizo alisema kuwa mchezo huo umelenga kuwazawadia Wateja wake na kutaka watanzania kuzidi kucheza bahati nasibu hiyo.

Alisema ili kuingia katika bahati nasibu hiyo kwa Wateja wa VODA COM wanatakiwa kuandika neno CHEKI au CHECK kwa heufi kubwa na kutuma kwenda kwenye namba 15544

Ukitaka kushuhudia jinsi mshindi alivyojizolea pesa za Tusua mapene ya VODA ingia katika Chanel ya YouTube :Matukiodaima 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE