January 22, 2018

MBUNGE WA KOROGWE VIJIJINI STEVEN NGONYANI AFUNGUKA HAYA .......

 
ZUIO la  mikutano ya  hadhara  ya  kisiasa hadi mwaka 2020 lililotolewa na Rais Dkt John Magufuli  kwa wanasiasa nchini linaongeza ufanisi mkubwa  kwa    kila  mbunge mwenye nia ya  kweli  kuwatumikia  wananchi wake kuwajibika  kuwaletea maendeleo wale  waliomchagua .
MWENENDO  WA  SIASA  NCHINI BILA MIKUTANO YA KISIASA HADI 2020
Mbunge wa Korogwe Vijijini mkoani Tanga Steven Ngonyani  maarufu kwa  jina la Prof Maji Marefu ni mmoja kati ya  wabunge  wa Chama cha mapinduzi (CCM) ambae anapongeza zuio  la mikutano ya kisiasa kwa  wabunge  nje ya majimbo  yao  na  kuwa  wajibu  wa  kila mbunge ni  kumwakilisha  mwananchi aliyemchagua si vinginevyo.
USIKOSE  KUSOMA  MAKALA  HAYA MBUNGE AKIJIBU MASWALI 13  JUU YA  JIMBO LAKE ,USIKOSE  KUPATA NAKALA YA GAZETI  LA RAI ALHAMISI YA WIKI HII

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE