January 24, 2018

MBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA NA WENZAKE 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Mbunge  wa  jimbo la Iringa  mjini  Mchungaji  Peter  Msigwa ,mwenyekiti  wa  BAVICHA Iringa  mjini Laonce  M arto  na   watuhumiwa  wengine  11 wamefikishwa m ahakamani  leo  kwa  tuhuma  ya  kuchoma  moto  nyumba ya  katibu ya  UVCCM Iringa mjini  Alphonce  Muyinga na kuvunja  nyumba ya  diwani  wa kata ya  Mwangata  Anjelius  Lijuja  aliyekihama  chama  hicho na  kujiunga na  CCM .

Watuhumiwa  hao  wamefikishwa mahakamani  leo  na  kuachiwa  kwa  dhamana  hadi Februari  14  mwaka  huu ambapo  kesi   hiyo  itatajwa  tena  na  washitakiwawa  wote  wameachiwa  kwa  damana  na  kila mmoja  kudhaminiwa na  watu  wawili .

Habari  kamili  yaja 
0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE