January 30, 2018

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO


Pix 1 ndumabro kiapo Pix 2 Ndumbaro akipokea vifaa
Mbunge wa Songea Mjini (CCM) Mhe.Dkt.Damas Daniel Ndumbaro akila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson (hayupo pichani)  wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa kumi ulionza leo Mkoani Dodoma.
Pix 6 Dr Stephano Kiruswa
Pix 6 Kiruswa
Mbunge wa Longido Mhe.Dkt.Stephano Lemomo Kiruswa akila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson (hayupo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa kumi ulioanza leo Mkoani Dodoma.
Pix 5 monko kiapo Pix 3 monko kiapo
Mbunge wa  Singida  Kaskazini Mhe.Monko Justine Joseph  akila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Dkt.Tulia Ackson wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa kumi ulionza leo Mkoani Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE