January 16, 2018

MAOFISA WA JESHI TOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI WATOA ZAWADI KWA SHAMBA LA MIFUGO FAMARI CHINI YA MKURUGENZI ARIF ABRI LEO

Canal Audu akimkabidhi zawadi mkurugenzi wa shamba la mifugo la Famari Iringa Arif Abri (Julia)shamba  lililopo wilaya ya Iringa Leo baada ya ziara ya mafunzo ya maofisa wa jeshi toka Chuo cha Taifa cha Ulinzi
Arif Abiri akiwakaribisha maofisa wa jeshi shambani kwake leo
Picha ya pamoja ya maofisa wa jeshi Afrika toka Chuo  cha Taifa cha ulinzi na mkurugenzi wa shamba la mifugo la Famari na wafanyakazi wake Leo


Habari kamili ingia Chanel ya YouTube Matukiodaima

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE