January 15, 2018

LOWASSA AMWAMBIA MAGUFULI HAKWENDA CHADEMA KWA KUBAHATISHA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amefunguka na kuweka wazi mambo ambayo alikuwa akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kusema kuwa alikuwa akimsihi kurudi CCM. 
Lowassa ameweka wazi hilo leo Januari 15, 2017 na kusema kuwa Rais Magufuli alimuomba aende Ikulu ili waweze kukutana na kufanya mazungumzo.
Akiongea na www.eatv.tv Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje- CHADEMA, bwana John Mrema amethibitisha kuwa ujumbe huu ni kutoka kwa Edward Lowassa.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE