January 15, 2018

MSAFARA WA MAOFISA KUTOKA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA WAFURAHISHWA NA BIDHAA ZA IVORI IRINGA

Afisa  mwenye  cheo  cha canal nchini Burundi  Aloys Ninyongere  (kulia) akimkabidhi  mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore leo baada ya  maofisa   kutoka  chuo  cha ulinzi  cha  Taifa  kufanya  ziara  kiwandani  hapo
Maofisa  kutoka  wa  jeshi  kutoka  nchi mbali mbali  wanaotokea  chuo  cha ulinzi  cha  Taifa  wakipata maelezo  kutoka kwa  uongozi wa  kiwanda cha Ivory  Iringa   baada ya  kufika  kujifunza  leo mkoani Iringa
Baadhi ya  viongozi  wa  mkoa  wa Iringa  wakiwa kiwandani hapo
mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore kushoto  akitoa maelezo ya  kiwanda  hicho  kwa  maofisa  wa  majeshi  kutoka  nchi  za  Afrika  ambao  wanatokea  chuo  cha  ulinzi cha Taifa  leo
mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore akisikiliza  swali  kutoka kwa  wageni  wake  kiwandani hapo
mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore akiwangoza m  maofisa    wa  jeshi  kutoka  nchi  mbali mbali za Afrika  waliopo  chuo  cha Ulinzi cha  Taifa  leo  kutembelea  kiwanda 
Wageni  wakitazama   baadhi ya  bidhaa zinazotengenezwa na kiwanda  cha Ivory  Iringa
Hizi  ni  baadhi ya  bidhaa  za  Ivory  zilizowavutia  maofisa  toka  chuo  cha Ulinzi  cha  Taifa 
mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore akifafanua  jambo
Wafanyakazi  wa  kiwanda  wakiweka  Chocolate  za  jero jero  tayari kwa  kwenda  sokoni
mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore kushoto  akiwa na mkuu wa msafara  wa maofisa  hao kutoka  chuo  cha Ulinzi  cha Taifa  Capt  Hamisi  na  wenzake
mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore akiwasiliza  waofisa kutoka chuo  cha ulinzi  cha Taifa  leo
mkurugenzi  mtendaji wa kiwanda  cha  bidhaa  za  Ivori  Iringa  Suhail Esmail  Thakore (  wa  tatu kushoto)  akiwa na  maofisa  kutoka  chuo  cha Ulinzi  cha  Taifa  pamoja na viongozi wa Manispaa ya  Iringa baada ya  kufika  kiwandani hapo  kujifunza  leo
Ofisa  kutoka  chuo  cha ulinzi  cha Taifa Caesar Waitara (kushoto)  akimkabidhi  kwa  niaba ya  wenzake mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela zawadi maalumu baada ya  kufurahishwa  na utendaji  wake  
Hapa  akimkabidhi  fulana
Mkuu  wa  wilaya ya  Iringa Richard Kasesela (wa saba  kulia )  akiwa na maofisa  kutoka  chuo  cha Ulinzi  cha Taifa  pamoja na viongozi wa Manispaa ya  Iringa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE