January 15, 2018

Breaking news : chadema Iringa mjini watuhumiwa kuvunja Nyumba ya Diwani aliyejiuzulu


Watu wanasadikika ni vijana wa chadema cha demokrasia (chadema) Iringa mjini wametuhumiwa kuvamia Nyumba ya aliyekuwa Diwani wa kata ya Mwangata Anjelus Lijuju na kuvunja usiku wa Leo kwa kile kinachoelezwa in mambo ya kisiasa.

 Lijuju ameueleza mtandao wa matukiodaima leo kuwa alipewa taarifa na uongozi wa mtaa pamoja na Diwani wa kata ya Igumbilo Mussa Mlawa(pichani) kumjulisha juu ya Tukio hilo. Nyumba hiyo imejengwa eneo la Igumbilo nje kidogo ya mji wa Iringa kama unaelekea Dar es salaam ilikuwa ikisubiri kuezekwa.

 Habari kamili tembelea Chanel yetu ya YouTube matukiodaima usisahau kujiunga kwa kubonyeza sehemu iliyoandikwa kwa wino mwekundu SUBSCRIBER

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE