December 22, 2017

Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia vimeshinda uchaguzi

        V                    Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia                

Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia.
Ikiwa kura zote zinakaribia kukamillika kuhesabiwa Katika rekodi ya wapiga idadi ya wapiga kura ambao wamejitokeza vyama hivyo vinaonekana kushinda jambo kimepunguza kidogo idadi ya viti bungeni.

Matokeo hayo kwa vyovyote ni habari mbaya kwa waziri mkuu wa Hispania,Mariano Rajoy ambaye aliingilia kati jimbo hilo kujitenga hivi karibuni na kuitisha uchaguzi huo.
HAkiwa uhamishoni mjini Brussels aliyekuwa rais wa Catalonia ,Charles Puigdemont                
Akiwa uhamishoni mjini Brussels aliyekuwa rais wa Catalonia ,Charles Puigdemont amepongeza matokeo hayo na kusema ni ushindi wa demokrasia kwa sabbu idadi kubwa ya watu
walijitokeza ,rekodi ya watu waliopiga kura na idadi ya waliojitokeza ndio iliyosababisha matokeo haya na hakuna anayeweza kuyapinga.

Hata hivyo baada ya uchaguzi huo tatizo kubwa kwa pande zote ni kwamba hakuna uhakika kuwa uchaguzi huo na matokeo hayo yanawea kutatua mgogori huo unaendelea baina ya Catalonia na serikali ya Madrid.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE