December 22, 2017

Sudan kusini kusitisha mapigano kuanzia krismasi

       one

                                     Rais wa Sudan kusin,Salva Kiir
Serikali ya Sudan Kusini na makundi ya waasi wameweka saini ya kusitisha mapigano kuanzia siku ya krismasi,
hatua itakayomaliza vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyodumu kwa miaka mine. Makubaliano yalitiwa saini katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa katika mkutanoulioitishwa na IGAD.
Makuabliano yanaruhusu makundi ya makundi ya kutoa misaada kuwafikia wananchi waliobanwa katika maeneo ya mapigano.
Mara kadhaa makubaliano ya kusitisha vita yametiwa saini Sudan kusini lakini yote hayakutekelezwa.
  • Maelfu wamepoteza maisha na mamilioni kuyakimbia makazi yao kutokana na machafuko nchini Sudani kusini taifa ambalo lilipata uhuru miaka sita iliyopita.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE