December 2, 2017

SERIKALI YAENDESHA MDAHALO KUJADILI MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU NCHINI

DSC03642
Kamishna wa Maadili ya Viongozi wa Umma, Mhe. Jaji (Mst.) Harold R. Nsekela akitoa maelezo ya awali wakati wa mdahalo wa wadau wa Maadili na Haki za Binadamu ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu nchini.
DSC03657
Sehemu ya wadau walioshiriki mdahalo wa Maadili na Haki za Binadamu ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowezesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu nchini.
DSC03659
Baadhi ya maofisa wa Idara ya Ukujazi wa Maadili wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, wakisikiliza kwa makini hoja mbalimbali  zilizotolewa katika mdahalo wa wadau wa Maadili na Haki za Binadamu ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowezesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu nchini.
DSC03684
Dkt. Chris Mauki akiwawasilisha mada kuhusu mambo ya kuzingatia ili kujenga na kukuza maadili nchini wakati wa mdahalo wa wadau wa Maadili na Haki za Binadamu ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowezesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu.
DSC03708
Mwendesha mdahalo, Prof. Peter Kapoka (wa pili kushoto) akiongoza mjadala wa wadau wa Maadili na Haki za Binadamu ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowezesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu nchini.
DSC03713
Mmoja wa wadau wa Maadili na Haki za Binadamu akijangia hoja katika mdahalo ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowezesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu nchini.
DSC03736
Mmoja wa wadau wa Maadili na Haki za Binadamu akijangia hoja katika mdahalo ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowezesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu nchini.
DSC03768
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Nyakimura M. Muhoji akitoa neno la shukrani kwa wadau walishiriki mdahalo kuhusu Maadili na Haki za Binadamu ulioandaliwa na Serikali kwa lengo la kupokea maoni yatakayowezesha kujenga, kukuza Maadili na kuhimiza uzingatiaji wa Haki za Binadamu nchini.
TAARIFA KWA UMMA-page-001 TAARIFA KWA UMMA-page-002

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE