December 13, 2017

Sehemu ya helikopta ya jeshi la Marekani yaanguka shuleni Japan

        US CH-53E helicopter                    Sehemu ya helikopta ya jeshi la Marekani yaanguka shuleni Japan                

Sehemu ya ndege ye jeshi la Marekani imeanguka kwenye shule katika kisiwa cha Okinawa nchini Japan na kuzua upya misukosuko na watu wa eneo hilo.
Sehemu hiyo ya dirisha ilianguka kwenye uwanja wa shule na kusabisha majeraha madogo kwa mwanafunnzi mmoja.
Kisiwa cha Okinawa kina kambi kuwa zaidi ya jeshi la Marekani nchini Japan.
US CH-53E helicopter                    Sehemu ya helikopta ya jeshi la Marekani yaanguka shuleni Japan                
Katika miaka ya hivi karibuni, ajali kadha na visa vya uhalifu vimesababisha kuwepo upinzani dhidi ya kambi hiyo ya Marekani.

Jeshi la Marekani lilithibitisha kuwa dorisha kutoka moja ya helikopta zake ilianguka kwenye uwanja wa michezo wa shule iliyo nje ya kambi ya yake ya jeshi la wanahewa.
Okinawa Governor Takeshi Onaga shows a picture of the window that fell from the helicopter                    Gavana wa Okinawa Takeshi Onaga aonyesha picha ya dirisha iliyoanguka shuleni

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE